O'NEAL ANAZIDI KUMFAIDI DADA ETU FEZA MJENGONI, CHEKI ANAVOMLA DENDA WAZIWAZI AKATI ATA MAHARI AJATOA
Mshiriki wa Botswana, Oneal ameendeleea kuyafaidi mate ya dada yetu ambapo wakati huu jamaa huyo aliamua kupiga magoti wakati akimwaga "sera za nguvu" kwa Feza na kumwambia kuwa maisha yake yalikuwa shagala bagala kabla hajakutana na mwakilishi huyo wa Tanzania.
Maneno hayo matamu yalimwingia vyema Feza ambaye alikuwa akitabasamu muda wote kuashiria upendo mzito kwa jamaa huyo wa Botswana ambaye anataka wawe na maisha pamoja siku za usoni.
Washiriki wengine waliamka na kuwashangalia wapenzi hao kama yalivyo maisha ya kawaida.
Muda mfupi baadaye, Feza na Oneal walianza kubadilishana mate na ndimi...!!!!!!!
0 comments: