UNAMKUMBUKA WABOGOJO?? YULE ALIECHEZA KATIKA VIDEO YA MR. NICE YA KIKULACHO MIAKA HIYOO..., TAZAMA ANACHOKIFANYA KUSOGEZA SIKU ZA MAISHA

 Yule kijana alieanza kujulikana shughuli zanke za kuruka na kujinyonganyonga kupitia video ya wimbo wa MR NICE wa KIKULACHO Jina lake halisi ni ATHUMAN FORD ATHUMAN A.K.A wabogojo watanzania wengi wanatamani kujua alipo na anachokifanya kuendeleza kipaji chake HUyu jamaa yuko zake  MAKAU CHINA katika mji wa WAMACASINO kama LAS VEGAS Huko marekani akifanya kazi katika show za THE HOUSE OF DANCING WATER

Mungu mjalie mtanzania mwezetu aweze kufika mbali katika kazi zake
 chanzo PAMOJAPURE

TAZAMA VIDEO AKIFANYA MAMBO YAKE

0 comments: