A..Y kuwa wa kwanza East Afrika

Baada ya kupata mafanikio makubwa na ambayo bado yanaendelea kutokana na trck yake ya Speak with your body, Ambene Yesaya amepata shavu la track yake kupigwa na Trace, kituo hiki chenye heshima ndio kilichoomba kucheza nyimbo hiyo kutkana na kuonekana bora zaid........
AY amepata shavu hilo hivi karibuni na ndiye amekua msanii wa kwanza East Africa kwa track yake kuchezwa katika kituo hicho 
mkataba wa AY na TRACE





Na baada ya kupiga collabo na Romeo, AY amesema yupo mbioni kufanya collabo na T.pain, Young Joc na Tyga wa Young money...                                                       

0 comments: