Rihanna ashinikizwa kurudiana na Chriss Brown
Rihanna & Chriss Brown |
sasa Cousin wake ameliambia the National Enquirer kuwa wamemsamehe Chris na kumtaka RIRI amrudie. " Chris alikosea, lakini nimemsamehe." amesema Nicola Alleyne na kuendelea kusema, " nadhani hata yeye kapata kipigo,lakini ningependa kuwaona pamoja tena, naamini Chris bado anampenda, alimtambulisha kwa kila mtu, alikua ni mtu mzuri sana.
Chris kwa sasa yuko katika uhusiano na model Carrueche Tran.
0 comments: