MAAJABU: NYATI AZAA MTOTO ANAEFANANA NA BINADAMU
Nchini Thailand, Nyati amezaaa mtoto anayefanana sana na mwanadamu. Hizi ni picha ya nyati zikionyesha uso na wa binadamu hasa yake ambayo ni sawa . Hata hivyo, mikono yake na miguu inafanana zaidi na nyati. Lakini kwa ujumla nyati anafanana sana na ng’ombe. Lakini sio kwa binadamu.
Kwa bahati mbaya kiumbe huyu alikufa muda mfupi baada ya kuzaliwa. Hli jambo limeleta gumzo na mtafarukiu mkubwa katiak kijiji hicho kuna imani kwamba tukio kama hilo linata baraka kwa watu wote wa sehemu tukio lilipotokea. kutokana na imani hii watu wengi wameonekana wakiomba na kusali ili wapate baraka. uso wa kiumbe huyu huwezi kutofautisha ni binadamu au ni nyati alisikika mwanakijiji mmoja.
SOURCE: POSTGIVER
0 comments: