MWANAFUNZI AFUMANIWA NA WAZAZI WAKE AKIWA NA NJEMBA NDANI YA GESTI HUKO YOMBO.. ALA KIBANO NA KUTOKA MBIO..!!


Picture
Mwanafunzi mmoja amefumaniwa katika nyumba moja ya wageni (guest house) hapo jana, tarehe 29/6/2013 majira ya saa nane mchana katika eneo la Yombo Vituka jijini Dar es salaam.

Hata hivyo mfumaniwa mwenzake hajakamatwa kwani aliponyoka na kukimbia.
Wazazi wa uchungu na hasira wakiwa na binti yao mara baada ya fumanizi.




Picture
Hii ndio sura halisi ya binti aliyefumaniwa.


Picture
Chumba kilichotumika kwa kwa mwanafunzi huyo, mwenzake kufanyia ufuska.


Picture
Wazazi wakimpiga binti yao kwa uchungu na hasira mara baada ya fumanizi.
 
SOURCE: WAVUTI

0 comments: