MBOWE NA LEMA WAJISALIMISHA POLISI LEO KWA MAHOJIANO ZAIDI..!!

Mwenyekiti  wa Taifa wa chama cha Chadema Freeman Mbowe na mbunge wa Arusha Mjini  Godbless Lema wamejisalimisha wenyewe leo asubuhi  katika kituo Kikuu  cha Polisi Mkoani Arusha kwa ajili ya kuhojiwa.

0 comments: