Bakhresa kuja na king'amuzi chake!! malipo kwa manunuzi ni 30.000tsh na kwa mwezi ni shilingi elfu mbili

Kwa taarifa tulizopata ambazo siyo rasmi zinasema kuwa bakhresa atakuja na king'amuzi chake ambacho kitauzwa Tshs.30000 na utalipia Tshs. 2000 kwa mwezi.Ina channel 100+. Mwenye habari zaidi atujuze.

Lisemwalo lipo kama halipo linakuja

0 comments: