HII NDIYO TABIA KUUBWA YA MADEMU WA FACEBOOK...!!

Zamani ilikuwaga ukimwagana na demu unayetoka naye ambaye pia ni rafiki yako facebook, kwanza ana futa namba yako, halafu pili ana ku unfriend au kuku block facebook. Siku hizi, hawafanyi hivyo ( hawa ku unfriend wala kuku block ), wanacho kifanya, wanatafuta jamaa mwingine, wanaweka uhusiano wazi, like " Eva soso is in an open relationship with Adam so so ", halafu kila siku wanakuwa wana post status na picha zinazo onyesha jinsi gani wana furahia mahusiano yao na hao majamaa zao wapya, like " I have neva find a gud mine like him", " huku katupia picha ya huyo jamaa and all that..
WHY DO THEY DO THIS?

Wanasema wanataka kuwaonyesha ma ex wao kwamba, maisha ya furaha bila wao ( ma x wao ) yanawezekana.

Wanasema : I WILL NEVA BLOCK MY EX BOYFRIEND ON FACE BOOK, RATHER I WILL LET HIM SEE HOW MUCH I AM HAPPY WITH MY LIFE WITHOUT HIM "

Wadadaz, mnaweza kuwa sahihi katika hilo, but still mnaweza kuwa so wrong about it. Kwa nini nasema hivyo? Unacho kifanya hapo sio kumuonyesha ex wako jinsi unavyo weza kufurahia maisha yako bila kuwa na yeye, lakini kikuweli unacho kifanya ni kujaribu kumkomoa au kumrusha roho jamaa and all that. That is not right my dear.

Swali langu kwenu huwa ni " UNAWEZA VIPI KUFIKIRI KUWA UNAMKOMOA MWANAUME ULIYE MWAGANA NAYE KWA KUTUMIA MWILI WAKO MWENYEWE?"

Mmewahi kufikiri kuhusu hilo? Wadada wenye tabia hizi acheni hizo, mnajichora sana.

0 comments: