KUTOKA BIG BROTHER:FEZA KESSY APAGAWA BAADA YA KUONA VIDEO YA WIMBO WAKE KWA MARA YA KWANZA,TAZAMA HAPA CLIP YA DAKIKA 2


Cheki video hii jinsi Feza Kessy alivyopatwa na mshangao baada ya kuiona video yake ya Amano ya moyo kwa mara ya kwanza akiwa ndani ya jumba la Big Brother ambayo ilipigwa na DJ PQ. Feza Kessy alitoa audio ya wimbo wambo wake Amani ya Moyo na kabla video haijatoka alienda kwenye mashindano ya big brother kitu ambacho kilimfanya asione video yake hadi siku ambayo aliiona kwa mara ya kwanza ndani ya BBA house.


0 comments: