KUNDI LA BAIKOKO KUTOKA TANGA LATAKIWA KUFUNGIWA MAISHA KATIKA SHUGHURI ZAO..!!
Mmoja wa cheza show kama anavyoonekan akiwa akimchezea uchi mteja.
Mcheza show wa kundi la Bikoko akionesha manjonjo yake mbele ya wateja.
Laanakhum kama hii  haikubariki Serikali inatakiwa kuyasambaratisha makundi kama haya ili  kukomesha uposhwaji wa maadili ya mtanzania na kushawishi vitendo vya  ngono.
Serikali  ya Tanzania kupita wizara ya michezo utamaduni imeshauriwa  kuyasambatisha makundi yote yanayojihusicha na kucheza uchi kwenye kumbi  za burudani ili kukomesha hamasa  za ngono na udhalilishaji.
 Wakiongea  na Xdeejayz baadhi ya wanchi waliyalalamikia makundi ya Khanga Moja "  Laki Si pesa, Baikoko, Kitu Tigo K nyumbani kwako,Tako Camp lililopo  Mwanyamala mchangaji watu hao walisema kushindwa kwa Serikali kuyazuia  makundi hayo ni kuonesha udhaifu kwani yamekuwa yakidhalilisha heshima  ya mwanamke wa Tanzania pamoja na kihamisha ngono.
 





 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments: