Hatimaye Bustar Rhymes ndani ya Cssh Money

HatimaHatimae Busta Rymes na Mystikal nao wajiunga na kundi la YMCMB rasmi jana ikiwa bado taarifa kamili hazijatolewa kuhusu tukio hilo ila kilichowekwa wazi ni kua tayari watu mzima wapo ndani ya kundi hilo ambalo kwasasa ndo kundi pekee lenye mkusanyiko wa wasaniii wenye hits kali ambapo kuna mtu mzima Lili wayne, Drake,Nicky Minaj,Bow wow,Tyga na owner mwenyewe mtu mzima Birdman……
Jana usiku Rapper Ricky Ross aliweza kumpongeza Busta Rymes kupitia mtandao wa twitter kwa kumtakia mafanikio mema ndani ya YMCMB

0 comments:

Yalaiti by Mwana FA ft. Linah


0 comments:

Kabwela by Stamina ft. Rich mavocal


0 comments:

WEMA AVUA RASMI PETE YA UCHUMBA ALIYOVISHWA

   
Aliyekuwa mchumba wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’, mlimbwende Wema Isaac Sepetu ameivua rasmi pete ya uchumba kufuatia kupigwa chini na msanii huyo Ishu hiyo ya kusikitisha, ilijiri Jumatano ya Oktoba 19 mwaka huu, saa chache baada ya kujiridhisha na taarifa za kuachwa

Read More »

0 comments:

SWAHILI FASHION WEEK 2011 NOW IN ARUSHA

ARUSHA FASHIONISTAS, HERE WE COME.................FOR THE FIRST TIME IN ARUSHA. THE BIGGEST FASHION EVENT IN EAST AND CENTRAL AFRICA, SWAHILI FASHION WEEK, WILL MAKE ITS DEBUT FASHION SHOW AT THE NEW MOUNT MERU HOTEL ON 8TH OCTOBER FROM 8:00 PM ON WARDSCOME ALL AND ENJOY THE CREATIVITY OF EAST
Read More »

0 comments:

Lugha gongana by Noorah baba stylez


0 comments:

Nakusemea by Aslay


0 comments:

Rihanna ashinikizwa kurudiana na Chriss Brown

Rihanna & Chriss Brown

Imeripotowa kuwa familia ya mwanadashost Rihanna inamuomba kurudisha uhusiano uliofeli kati yake na X boy friend Chris Brown.uhusiano huo ulifeli tangu mwaka 2009 pale Chris alipompa kitu inaumwa Rihanna kabla ya Grammy Awards, Brizzy alikua arested kwa kitendo hicho lakini aliescape kufungwa jela na badala
Read More »

0 comments:

A..Y kuwa wa kwanza East Afrika

Baada ya kupata mafanikio makubwa na ambayo bado yanaendelea kutokana na trck yake ya Speak with your body, Ambene Yesaya amepata shavu la track yake kupigwa na Trace, kituo hiki chenye heshima ndio kilichoomba kucheza nyimbo hiyo kutkana na kuonekana bora zaid........

Read More »

0 comments:

Hakunaga by Suma Lee



0 comments:

Kasindela by Mataluma


0 comments:

Kama changu ntapata by Mo Racka ft. Jux



0 comments:

JAY Z NA BEYONCE HATIMAYE WAWA WAZAZI WATARAJIWA

                                                            Jay Z na Beyonce

Beyonce Knowles amefanya bonge la suprise announcement pande za LosAngeles Marekani kwenye tuzo za MTV Video Music Awards....kwamba She'spregnant!

....Kauja uzito kaleee.........

Read More »

0 comments:

J.Martins track moja na Cabo Snoop

                               
    Artist na producer toka Nigeria J.Martins ameachia track zake mbili Good time featuring super star toka Angola Cabo Snoop na nyingine ni KELE  PAPA  featuring Congolese superstar Fally Ipupa ambazo zitakuwa kwenye album yake ya 4 da Good life

0 comments:

P,square na shutuma za wizi wa nyimbo

                                                             Steph Nora Okere Wasanii mapacha wa kutoka nchin Nigeria P,square wanakabiliwa na mashitaka toka kwa Nollywood actress Stph Nora Okere baada ya kudaiwa wamemyibia ngoma yake inayokwenda kwa jina la JEJE iliyopo kwenye album yao mpya ya 5 , INVASION
                                                                  JUDE OKOYE  
  Mkali huyo wa Nollywood ambaye kwa sasa amisanukia fani ya muziki anafunguka kuwa alikutana na kaka  

Read More »

0 comments:

King zilla By Godzilla ft Marco Chali



0 comments:

Rizi One By Izzo Bizness



0 comments:

Tanzania All Stars - Miaka 50 ya Uhuru



0 comments:

Jiachie by Klex ft. Hardmad



0 comments:

Speak with your body by A.Y ft Lil Romeo yaachiwa on air


Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa mwanamziki Ambwene Yesaya ameachia nyimbo yake aliyo mshirikisha mwanamiziki kutoka maandish matatu U.S.A, Lil Romeo ambaye ni mtoto wa Master P, nyimnbo yenyewe inaitwa 'speak with your body'   Angalia video hapa chini........

Read More »

0 comments:

Otis by Kanye West & Jay Z

Katika siku kathaa zilizopita mnyamwezi Jay Z & Kanye West wametoa track ambayo inabamba kinoma pande za mitaani, track yenyewe ni hii hapo juu.

0 comments:

Jay ashika namba 1 katka wasanii walioingiza mkwanja mrefu

Wiki jana illikua ni wiki safi sana kwa mwanamuziki Jay Z baada ile list ya Forber kutoa taarifa na kumtanganga Jay Z (baba Beyonce) kuwa ndiye msanii aliejiingizia kipato kikubwa kutokana na kazi zake
Read More »

0 comments:

K sher ft Marlow- hamu



0 comments:

Moyo wangu by Diamond


0 comments:

ZIJUE GARI NDOGO 5 ZENYE THAMANI DUNIAN

5.McLARE F1
         40 mph 0..60 in 3.2second
           kwa $970,00 USD

 4.SALEEN S7 Twin Turbo     
       248 mph + 0..60 in 3.2seconds
         kwa $1,585,296USD

         
3.KOENIGSEGG CCX
      256 mph + 0..6 in 3.2seconds
          kwa $1,820,00USD

2.SSC ULTIMATE AERO
      275mph + 0..6 in 3.2seconds
         kwa 1,900,000USD



1.BUGATTI VERYRON 16.4 super sport
     276 mph + 0..6 in 2.2secon
        kwa $2,400,000
                 
             This Informations created by GODY GOWIN   A.K.A Unstoppable

0 comments:

Mashalaah by Chidi Benz ft Mzee Yusuf


0 comments:

Dushelele by Ali Kiba


0 comments:

THT kupiga show na USHER RAYMOND(ATLANTA)

Usher's New Look Foundation, established in 1999 has invited THT artists to join him at the World Leadership Conference and Awards in Atlanta this week.
Mwasiti, Amini, Barnaba, Linah, Ditto & Keyboard player Mose Delema will be flying to the United States to join him at the World Conference where they will perform on stage with one of their most popular icons Usher Reymond.


Usher’s team has invited the THT Artists to participate in a 4-day conference that includes sharing experiences, discussing local, national and global issues, working together in an international choir featuring a solo performance by Usher as well as performing their own songs during the Awards Night.


Traveling with Ruge Mutahaba the Founder of Tanzania House of Talent and B12 popular Radio DJ from Clouds Fm, Ruge Mutahaba says ‘The artists have been given an amazing opportunity to travel to Atlanta to participate not only with an international artist for the Awards Night but to also contribute and learn by participating in the youth conference.’




B12 said ‘It’s great to see first hand how Usher Reymond is celebrating youth’s involvement in leadership. He is keen to demonstrate how young talent, education and public service can make a difference and I will be following the conference and giving updates regularly on Clouds FM.’  

PICTURS

K-Lee backup wa Jafaray

Deso kutoka Tip Top & Jafaray

Deso, K-Lee & Tunda Man

Stamina, CountryBOY & Young Dee (Mtu Che)

Bwana Misosi, Kalama & Insp Haroon

Jafaray, Deso & B12



KAULI YA JOSEPH MBILINYI-MBUNGE WA MBEYA MJINI.

Jana tarehe 8 Julai 2011 Polisi walinikamata kwa kile walichokiita kuwa ni kufanya mkutano bila kibali.
Hata hivyo, mtiririko wa matukio unaonyesha kwamba polisi walisukumwa na sababu nyingine kwa kuwa suala la taarifa kupelekwa polisi kama sheria zinavyohitaji lilishashughulikiwa na viongozi wa CHADEMA mkoa na wilaya ya Mbeya Mjini.

Leo tarehe 9 Julai 2011 pamoja na kutolewa kwa dhamana polisi wameonyesha nia ya kutaka kuzuia tamasha la wazi la bure ( ‘Burudani Nyumbani’) ambalo wasanii mbalimbali walikuwa walifanye kwa mwito wangu kwa ajili ya kutoa burudani na kuhamasisha maendeleo. Polisi wameonyesha vitendo vya kutaka leo kufanyike tamasha la fiesta pekee wakati ambapo matamasha haya yote mawili yameandaliwa na wadau tofauti katika maeneo tofauti.
Mpaka wakati huu ninapotoa taarifa hii wananchi wengi wamejikusanya katika uwanja wa Ruanda Nzovwe ambao ni maarufu kama Uwanja wa Dr Slaa wakisubiri tamasha hilo lakini polisi wameonyesha dhamira ya kutaka kuwatawanya.

Maneno na vitendo vya Jeshi la Polisi vinaelekea kuwa na uhusiano na kauli ambayo niliitoa hivi karibuni kupitia mtandao wa Facebook ya kutohitaji tamasha la Fiesta kufanyika Mbeya.
Katika mazingira haya ni muhimu nikaeleza tu kuwa kauli yangu kuhusu Fiesta ilikuwa na madhumuni ya kuanzisha mjadala kuhusiana na suala zima la wizi na unyonyaji uliopo kwenye Sanaa, ambao sio tu unawanyima haki Wasanii, bali pia kukosesha mapato kwa Serikali ambayo  yangetokana na kodi  kupitia Sanaa ikiwemo muziki.

Nilifanya hivyo baada ya tamasha hilo kutangazwa kufanyika katika eneo ambalo wananchi wamenipa wajibu wa uongozi wa kuwatumikia na kuwawakilisha. Hivyo kwa niaba ya wananchi wa Mbeya Mjini wanaokosa mapato katika sanaa na wasanii wa Mbeya wanaokosa fursa kutokana na vikwazo nilichukua uamuzi wa kuwakilisha kupaza sauti kama ambavyo nimekuwa nikipaza sauti katika masuala mengine yanayogusa umma kama viwanda, kilimo, barabara za Mbeya Mjini na Haki za wanafunzi wa Elimu ya Juu pamoja na makundi mengine katika jamii.

Niliamua kupaza sauti katika hili kupitia Fiesta, kwa kuwa waandaji wake kimsingi  ni sehemu ya vyanzo vya maovu  kwenye maendeleo ya  muziki hapa nchini.  Fiesta ikiwa kitovu cha uonezi kwani hata Wasanii wanaoshiriki halipwi ipasavyo au hawalipwi kabisa.  Na hii ni kutokana  na wao kutumia njia haramu kuhodhi (monopolise) biashara ya muziki hapa nchini, huku wakiwanyima nafasi  watanzania wengi kutumia vipaji na ubunifu wao kwenye  biashara ya muziki.
Waandaji  wa Fiesta ndio wenye redio ya Clouds, Kampuni ya promotion ya Primetime, na pia wanahusika na N.G.O ya THT, waandaji wa matamasha ya injili, ikiwemo kuwa na ushirika katika Tamasha la Pasaka.

Huku wakiwa na ushawishi wa hila kwenye Kili Music Awards (One Call Promotion) na mambo mengine yote muhimu yanayohusu Sanaa.  Ikiwemo ujumbe wa bodi kwenye  Tamasha la  majahazi, Zanzibar.  Lisingekuwa jambo baya kama wangetumia nafasi hizo kwa haki na maendeleo ya sanaa.   

Kutokana na haya, kwa miaka mingi himaya (“empire”) hii imetumia nafasi yake dhalimu  kukandamiza watu wengine hasa Wasanii.   Kwa mfano kama Msanii hayupo kwenye hiyo “himaya” yao basi hana nafasi ya kutimiza ndoto yake.  Na iwapo Msanii hakubaliani na taratibu zao au malipo finyu wanayowalipa Wasanii, basi watahakikisha wanampiga vita na hatimaye kuhujumu usanii wake ili atoweke, kwa kuwa tu  hakubaliani nao.  Msanii hana haki ya kufanya majadiliano ya kibiashara mbele yao.
“Empire” hii imehodhi mpaka  makampuni ya udhamini hapa nchini, ambapo makampuni haya yamekuwa magumu kutoa udhamini kwa wadau wengine kwa kuwa tu wao ni washirika wa “Empire” hii.
Walifikia hatua ya kuhodhi mpaka biashara ya usambazaji kwa “Wadosi” ambapo bila ya wao kuruhusu basi  Msanii yeyote kazi  yake haipewi nafasi ya kusambazwa wala kusikika.  Hata kama nyimbo au album yake ni nzuri kwa kiasi gani.

Kibaya zaidi wamehodhi mpaka  nia njema ya Rais Kikwete katika kusaidia Sanaa na Wasanii.  Mfano ni Studio ambayo Rais kupitia Bunge Tukufu la Jamhuri ya Muungano alitangaza kuwa amewapa Wasanii wa Tanzania, lakini baadaye  tukashangaa kusikia ipo mkononi!  Pia Rais aliahidi na kutoa nyumba ya Serikali kwa Wasanii ambayo ingetumika kuendeshea Studio husika, lakini nyumba hiyo ya Serikali iliyotolewa na Rais sasa iko chini yao na ndio  makao ya THT!  Wamefanikiwa kumhadaa Rais kuwa wao ndio “Care takers” wa Sanaa ya Tanzania akawaamini na wao wanaitumia vibaya imani njema ya Rais kwao kufanya dhuluma.  Yote niliyoyataja juu,  japokuwa hayo ni kwa uchache tu! Yanalalamikiwa sana na wasanii wengi na  wadau hapa  nchini, japokuwa wengi wameshindwa kujitokeza waziwazi kutoka na vitisho vya watu hawa.
Vitendo hivyo wanavyofanya vimeleta madhara katika tasnia ya sanaa na   matokeo yake ni kudumaa kwa maendeleo ya muziki hapa nchini.  Vijana wengi wanaojihusisha na sanaa wamepoteza matumaini.  Wengi walipata tegemeo la ajira kupitia muziki, lakini hali haipo hivyo tena.  Vijana wengi wasanii wamekata tamaa kwa ajili ya ukandamizaji wa “empire” hii.
Na sio tu wasanii na wadau wengine wanawapoteza katika hili.  Kwa watu  hawa kuhodhi na kuvuruga kabisa biashara ya muziki, hata Serikali inapoteza fedha nyingi kupitia kodi.  Kwa mujibu wa utafiti wa Dr. Jehovaness Aikaeli ambaye ni mchumi wa UDSM, hata katika hali hii mbaya ya biashara ya muziki, Serikali imepoteza Tsh. Milioni 18, kwa kutokusanya kodi kupitia muziki tu, ukiachilia mbali filamu na sanaa nyingine.  Na iwapo hali itaboreshwa basi kodi hiyo itapanda mpaka wastani wa Tshs. Bilioni 50 kwa mwaka!  Hizi sio pesa kidogo kwaserikali, hasa ukizingatia bajeti ya Wizara inayohusika na Utamadnuni ni Tsh bilioni 14, kwa mwaka,  fedha ambazo mara nyingi hawapewi zote kutokana na Serikali kutokuwa na fedha ya kutosha! Lakini hapa utaona kukwa kodi ya mwaka peke yake ingetosha kwa bajeti ya Wizara na ziada kubwa ingebaki kwa miradi ya maendeleo kama kujenga Art Theatres n.k

Napenda ieleweke wazi kwamba mimi binafsi ni “Mhanga” au “victim” wa uharamia wa “himaya” hii kwa miaka mingi, tukupitia migogoro kadhaa ya kibiashara lakini kilichonisikuma kuchukua hatua hii; sio nafsi yangu pekee bali wajibu nilionao hivi sasa kama mwakilishi umma.
Izingatiwe kuwa  baada ya mimi kuchaguliwa kuwa Mbunge na wananchi wa Mbeya tena kwa  kishindo, Serikali kupitia Wizara inayohusika na utamaduni na pia Baraza la Sanaa (BASATA), walinipongeza kwa barua huku wakinitaka niendelee na harakati za kupigania sanaa na wasanii kwa kutumia nafsi au jukwaa langu jipya Bungeni na nje ya Bunge.  Jukumu ambalo nililikubali kwa mikono miwili kwani harakati za muziki huu si kitu kipya kwangu, ulianza kabla ya Ubunge na ndio ninachokifanya na hasa ukizingatia mimi pia sasa ni Waziri Kivuli (Shadow Minister) wa Wizara ya Habari, Vijana na Michezo.

Kwa lugha nyingine ujumbe nilioutoa wa kukataa Fiesta ni ishara ya mgomo wenye nia ya kutuma ujumbe wa madai ya msingi.  Na historia inaonyesha kuwa, Wasanii wa Nigeria walianza kulipwa vizuri kama wanavyolipwa sasa baada ya kuanzisha migomo dhidi ya mapromota wanyonyaji wa nchini kwao.
Na kama ni suala la kukuza uchumi na ajira,  Ni nini mchango wa Fiesta na matamasha mengine kwa halmashauri za mji na majiji wanayopita na kuvuna mamilioni ya fedha kila siku?

Wenu katika kutaka haki,
Joseph Mbilinyi (Mb)
9/7/2011 - Mbeya Mjini


HATIMAE MBUNGE WA MBEYA MJINI MH. JOSEPH MBILINYI AACHIWA LAKINI BONANZA LAKE LAPIGWA STOP

 Mh Joseph Mbilinyi akiwa nje ya kituo cha polisi mbeya mara baada ya kuachiwa huru

Mh Sugu akihojiwa na waandishi wa habari hapo kituoni mara baada ya kutolewa

Mh Sugu akiondoka kituo cha polisi mbeya
 
habari ya bonanza la sugu ambalo lilikua lifanyike leo kwenye viwanja vya Luanda nzovwe
limesimamisha kwa sababu halina kibali  habari zaidi juu ya bonanza hilo tutawaletea baadae


SERENGETI FIESTA 2011 MBEYA

Godzilla

Dayna

Top C

Belle 9

Kalapina

20%

Kalama na Insp Haroon

Jafaray

Rais wa Masharobaro

Recho

Roma

Tip Top Connection

Mwana FA

Izzo B

Prof Jay

Joh Makini

Wachuja Nafaka

0 comments:

J.LO kuachana na mumewe Mark Anthony

Mwanadada kutoka katka pande za maandishi matatu USA Jenipha Lopez yupo mbioni kuachana na mumewe ambaye nae ni nguli ktk game ya musiki wa R&B Mark Anthony ambae anatamba na nyimbo  kama you sang to me na I need you. Mark Anthony na J.Lo ambao wamedumu ktk ndoa takribani miaka soba ss amapo waliweza kupata watoto mapacha, taarifa za nini chanzo cha kutaka kutengana kwa magwiji hayo ya music bado hazijatambulika mpaka sasa. Ndoa hii ni ya tatu kwa mwanadada huyo

0 comments: